Shikamoo Dr.Riziki, mimi naitwa JOJOO kutoka DRC kuna dawa ukanitumiaga kwaajili ya ugonjwa wangu wa kuanguka anguka nikiwa shuleni, niseme imenisaidiaga sana Dr. sasa hivi ndo nakuwa sihanguki tena na hata kifua hakijaagi tena karibu mwezi wa 3 sasa sijaanguka hata napona kabisa. Mungu ndiyo akulinde ukawe byee kabisa Dr.