Hello Dr Mkali Malela umeshindaje Dr?

Naimani mzima, naitwa Salome kutoka Lindi. Kwakweli hii dawa uliyonipa imenisaidia sana sikuwahi kupata usingizi zaidi ya miezi 8 kwakweli ila tangu nitumie dawa hii kwasasa nalala fofofo kabisa na njozi nazipata Dr.Kiukweli nimehangaika sana ila Mungu kaniongoza sehemu sahihi na hatimaye umenisaidia Mungu akubariki Dr. wangu.