Habari za leo Dr.Riziki. 

Nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wako mkubwa, Mungu akuhifadhi kwakweli nimehangaika zaidi ya miaka 10 nikihangaika na maradhi haya ya kichwa ambacho sikuwahi kupoa kabisa ila kwasasa mpaka siamini kama nimepona kwakweli Dr.Riziki sina cha kukulipa ila Mungu atakulipa Dr. asante sana.