Nashukuru sana mama yangu kashapona na sikutegemea kabisa. Ila nami nimeanza kuumwa.Ngoja nijipange namimi kisha nitakutumia tiketi uje huku unishughulikie namimi. Shukrani sana sheikh wangu, Mungu akuweke, akupe nguvu. Asante sana.

RAJABU Kutoka Afrika Kusini..