Nilikuwa nataka kukwambia asante sana. Nilikuwa nataka kukupatia majibu ya kila kitu. Unakumbuka nilikwambia kama  mwezi wangu ukitoka nasikiaga maumivu, hautoki kama kawaida lakini kwasasa nimechunguza karibu mwezi kila kitu kinaenda vizuri. Siumwi kila kitu kiko sawa. Kwahivo nashukuru sana tena saaaana.

ALICE Kutoka Ubelgiji.