Dr. lile tego la wezi uliloniwekea shambani  hatimae leo kuna mtu kanasa nimemkuta kasinzia usingizi kama wote nimekutumia picha yake Whatsap umemuona ?😁😁😁 Nimeongea na ndugu zake wanilipe ila hela hawana nifanyeje?