Awali ya yote Dr aanze kwa kuwataka radhi kwa kukawia kuwaletea makala hii ya kuhusu maajabu ya mnyama Ngekewa sehemu ya pili, hii yote ni kwasababu ya majukumu makubwa ya kuwahudumia wagongwa mbalimbali pamoja na wahitaji wa mambo mbalimbali yatokanayo na maisha ya hapa duniani.

 Ila panapo maajaliwa tutaendelea kuwa  pamoja katika kuhakikisha tunavuka salama katika mto huu wenya mamba na viboko wengi,  aamen.

Lakini kwa makala kama hizi na nyinginezo nyingi tembelea website ya www.drmkalimalela.co.tz kule utaona shuhuda mbalimbali za wagonjwa pamoja na masomo tofauti tofauti kutoka kwa Dr.

Basi kama unakumbuka vizuri, kipindi kilichopita tuliweza kuzungumzia faida na maajabu ya mnyama Ngekewa kwa ufupi sana hali iliopelekea watu kuwa na maswali mengi yasio na majibu, sasa leo tunaendelea kumuangazia mnyama huyu katika sehemu ya pili.

 Na kama mnavyojua, Ngekewa ni mnyama mwenye maajabu makubwa sana duniani ukilinganisha na mnyama yeyote yule, miongoni mwa maajabu hayo ya Mnyama huyu Dr.Riziki anasema ni pamoja na

 1 kumvuta mtu aliye mbali.

2 kumvuta mpenzi wako aliyeondoka na kukuacha bila sababu za kimsingi.

3 mvuto wa biashara ndogo.

4 mvuto wa biashara kubwa.

5 kupendwa na wanawake isivyo kawaida.

6 kupendwa na wanaume mpaka kero,.

7 mvuto wa wateja ktk biashara yako yoyote ile

8 mnyama ngekewa pia husaidia kusogeza dhahabu iliyo kina kirefu ili kupata wepesi wa kuifikia kwa haraka zaidi, wachimbaji madini walioko Kahama, Mwanza, Arusha, nchini Congo, Kenya, Uganda, Burundi na Msumbiji wanafahamu vyema habari za huyu mwamba Ngekewa, lakini pia wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya ndani na nje ya Tanzania humtumia mnyama Ngekewa ktk kuvuta hadhira ktk matamasha yao, hali inayopelekea kuitwa wachawi au washirikina kumbe siri ni mnyama ngekewa aanasema Dr.Mkali Malela.

 Kama unahitaji mvuto wa wateja katka biashara yako tumia mafuta ya Ngekewa Orignal tena yaliochanganywa  na miti yenye sifa ya mvuto kama vile mti wa mvumo,  Itinginya, Msekela, Mpapa, Mliliwa, Habati nuksi, Kasela ya bala, Mkunganila, Mkindwa Nzagamba na Malkia wa Nyuki kisha saga kwa pamoja na changanya na mafuta ya Ngekewa, jipake kwa manuizi maalumu ya unalolikusudia utakwenda kuona balaa na maajabu ya mafuta hayo na utajilaumu kwanini umechelewa, anasema Dr.Mkali Malela.

 Angalizo, huu siyo uchawi bali ni maajabu aliyobarikiwa mnyama Ngekewa pekee, mnyama aliyebarikiwa kupendwa zaidi na wanyama wenzake.

Ukitaka kuamini hili, chunguza tu kwa umakini mahali popote awapo Ngekewa huwezi kukuta yuko peke yake, mahali popote awapo lazima ukute anawanyama wenzake na wengine hudiriki hata kuchezea sharubu zake na unyoya wake hapo ndo utakapo amini kuwa kiumbe huyo ni wakipekee sana, 

 Lakini pia kwa wale dada zangu Dr.Malela anasema ambao hamjabahatika kupata waume au wapenzi hakuna haja ya kuhangaika tena ww tumia mafuta ya ngekewa sister utakimbia mwenyewe.

 Kwa wale watu wa migodini tumia ngozi ya ngekewa tu ktk kusogeza  dhahabu au madini yalio kina kirefu, ila hapa kunauandaaji wake na mpaka umpate mtaalamu wakuandaa mvuto huo, unaweza kujiuliza maswali mengi kuwa ni njia ipi inatumika kusogeza, hii ni siri ya benchi la ufundi ukitaka kujua mengi zaidi fika ofisini Kunduchi Mecco,Dar es salaam Tz onana nami kupata chombo kilichoandaliwa kwa umakini na weledi mkubwa. Au piga simu namba 0766040056 au 0716757373.

 Pia ikumbukwe kuwa mafuta ya mnyama Ngekewa huwezi yapata hapa Tanzania kwasababu  asili ya mnyama huyu ni  Amerika Kusini, na hata Dr.Malela mwenyewe huwa anayaagiza mafuta haya kutoka huko.

 Tahadhali, kuna matapeli walioibuka mitandaoni na kutangaza kuwa wanamafuta halisi ya Ngekewa kutoka Kigoma Tz, si kweli jamani narudia tena ukitaka mafuta halisi yaliyothibitishwa na mamlaka za Serikali, wasiliana na Dr kwa 0766040056 au 0716757373, Dr anasema Kigoma kunauzwa Mawese na sio mafuta ya Ngekewa ndugu yangu epuka matapeli.

 Pia kumekua na kasumba kwamba kipande cha ngozi ya ngekewa ukiiloweka katika maji, maji hayo hubadilika na kuwa damu. Habari hizo si za kweli.

Ila habari za ukiweka Nyanya iliyo mbich kwenye ngozi ya ngekewa, Nyanya hiyo huwiva kwa dk 20 tu.Habari hizi ni zakweli ila mpaka iwe imeshafanyiwa mambo fulani fulani anayoyajua Dr.Mkali Malela, mpigie akuelekeze vizuri. Ahsante.

 Lakini pia kipande cha ngozi ya Ngekewa kinauwezo wa kuvuta sarafu mfano wa sumaku pindi sarafu hio inapokua karibu na ngozi hiyo, ila yote hayo  hutokea pindi ambapo ngozi hiyo inapokuwa imeshalishwa madini fulani hivi, sio ngozi tu pekeake.

 Sasa utawezaje kuyajua mafuta halisi ya Ngekewa au yale Orijinally?

 Very good. Sikia,  chakufanya kama umeambiwa hayo ni mafuta ya Ngekewa, mwaga tone moja la mafuta hayo chini ya ardhi ndani ya dk 15 hadi 20 mafuta hayo yatakuwa yamezungukwa na wadudu,  kama ni kipande cha ngozi kiweke chini tu mwendo ni uleule subiri kwa dk 15 lazima kipande hicho kitakuwa kimefikiwa na wadudu. Vingenevyo shtuka.

 Kumbuka si kila anayefanikiwa ni mchawi , miongoni mwa njia za haraka ni pamoja na Mnyama huyu tulie barikiwa na Mungu, ukitaka kujua wangapi wamefanikiwa kupitia mafuta au ngozi ya mnyama huyu we tembelea ktk website ya Dr.Mkali Malela, andika www.drmkalimalela.co.tz huko utakutana na mashuhuda mbalimbali waliofanikiwa ktk bishara zao na mengine mengi tu. Lakini pia bado hujachelewa ukitaka kupata mafuta, ngozi unyoya mifupa chakufanya we wasiliana na Dr. Malela tu utapata mafuta original kabisa kutoka Amerika Kusini kuliko asili ya mnyama huyo, usidanganywe na mafuta ya Korie au Mawese asee amka mwanaafrika.

 Wazungu wenzetu wanafahamu vyema faida ya mnyama huyu ila hawawezi kukwambia kwasababu kampeni yao sio nzuri kwa waafrika, anasema Dr.Mkali Malela..

 Ndugu zangu narudia tena, weka oda mapema iwe mafuta, ngozi,  unyoya  au mifupa ili upate kwa wakati, mahali popote ulipo mzigo unakufikia kwa walio nchi jirani na hapa Tanzania, tunatumia kusafirisha kwa njia za mabasi na kwa walio nchi za mbali zaidi ikiwemo Ulaya unatumiwa kwa usafir wa DHL kufikiwa na huduma za Dr.

 Dr.Mkali Malela anatokea DR.MKALI MALELA HERBALIST CLINIC anayepatikana jijini Dar es salaam Tanzania.

 Kwa mambo mbalimbali kuhusiana na huduma hizi na huduma zake zingine kibao, wasiliana naye  kwa 0766040056 au 0716757373.

 Ujumbe wa Dr. wa leo ni kwamba.

Tupendane wanaafrika kwasababu kwetu kumoja.

TAZAMA VIDEO YAKE KAMILI HAPA

TAZAMA VIDEO KAMILI HAPA