Salaam zangu zikufikie ewe mdau wangu popote pale ulipo.

Unaendeleaje mwana Africa? 

 Basi kama u mzima na mnaendelea vizuri, nashukuru sana. Basi leo awali ya yote nataka kuwapa taarifa njema.

 Kwasasa unawezakuyafuatilia masomo yangu na shuhuda za wagonjwa mbalimbali kupitia ukurasa huu wa masomo yangu.

 Lakini pia kwa waliombali na hata karibu unawezakupanga appointment yako ya kuonana nami   kupitia kwenye hii website yangu kwakujaza fomu inayoitwa WEKA MIADI. Kupitia  hapo utaweza kupanga tarehe, muda na siku unayotaka kukutana nami  tena bila usumbufu kabisa.

Lakini pia naomba radhi kwenu kwakuchelewa kuwaletea masomo haya kwa wakati. Na kuahidi kutoa makala hizi kila wakati.

 Ndugu Wanaafrika, leo nitapenda kuzungumzia kuhusu tiba ya ugonjwa wa Bawasili. Hii yote ni mara baada ya kupokea simu nyingi za wagonjwa wenye changamoto ya ugonjwa huu nakuomba elimu ya kujitibu bila ya kufanyiwa upasuaji kwa njia za kisayansi zilizobuniwa na  wazungu kwa lengo la kujipatia kipato.

 Ikumbukwe kuwa Afrika tumejaaliwa nguvu kubwa ya utabibu kupitia miti asili ya kiafrika ila changamoto tulionayo ni kutokua na utambuzi na ujuzi dhabiti ya mti gani unatibu magonjwa yapi, changamoto ya pili tumehaminishwa na mabeberu kuwa tiba za kiafrica ni uchawi ili wao waendelee kutafuna fedha za maskini wanyonge kupitia magonjwa wanayo yatengeneza wao..

 Sasa basi, kwanza kabisa naomba nitoe ufafanuzi wa neno bawasili. Bawasili ni kijinyama au kijiuvimbe kidogo kinacho jitokeza katika njia ya haja kubwa au haja ndogo hasa kwa akina mama, kijinyama hicho kinapo jitokeza hukua na kupelekea kuwa kirefu na pindi unapo jisaidia kijinyama hicho huchomoza na kutangulia kwa mbele kabla ya haja kubwa au ndogo kutoka na hivyo huwa kero kwa mgonjwa.

 Sababu zinazo pelekea ugonjwa huo ni:

1.Kufunga choo au kupata choo kigumu kwa muda mrefu.

2.Kushiriki ngono ya kinyume na maumbile.

3. Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyo kuwa rahisi kwa kupatwa na ugonjwa huo kwa baadhi ya watu.

 4. Kuharisha sana kwa muda mrefu.

5. Sababu za kurithi - baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaifu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni asilimia ndogo sana.

 6.Kunyanyua vyuma vizito.

7.Kutumia vyoo vya kukaa.

8, Mfadhaiko/ Msongo wa mawazo /stress

 9. Uzito na unene kupita kias nakadhalika..

 Hizo ni sababu chache miongoni mwa sababu nyingi zinazopelekea ugonjwa huo wa Bawasili. 

 Dalili kuu za Bawasili ili usiwe na maswali ya kujiuliza pindi upatapo dalili hizi.

 1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa.

2.kinyesi kuwa na dam wakati wa kujisaidia

3. muwasho sehemu ya haja kubwa.

4.Uvimbe au kinyama kujitokeza sehem ya haja kubwa.

5.Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote ghafra.

Nasema ili kujitibu Ugonjwa huo kupitia tiba za kiafrika,  tafuta vitu vifuatavyo.

 1.Jumba la konokono

2.Habat soda ya unga

3.Maganda ya karanga

4.Shabu.

Saga vizuri dawa hizi kisha changanya na mafuta ya mbalika, utatumia kupaka mahali palipo athiriwa na bawasili, utapaka kutwa mara 2 yaani mawio na machweo kwa muda wa wiki 1 hadi mbili endapo ni tatizo la muda mrefu, sambamba na dawa hiyo ya kupaka pia inaambatanishwa na dawa ya kunjwa ili kuua kiini cha tatizo kuepuka tatizo kujirudia. Endapo utashindwa kuandaa dawa hiyo kulingana na mazingira ulipo au ugumu wa kupata vitu hivyo wasiliana nami kwa simu +255 766040056 au +255 716757373 kupata dozi kamili iliyo katika vipimo maalum kwa gharama nafuu sana ukilinganisha na gharama ya upasuaji mara ufikapo katika mitambo ya mabeberu. Dr.Riziki bhana.

 Afrika tumebarikiwa sana. Tumejaaliwa kila neema. Hasa hasa miti, mimea na material mbalimbali yanayosaidia kutibu magonjwa mbalimbali ila hatuzitumii.

 Nakumbuka nilipokuwa mdogo, nikipata matatizo ya mtoto wa jicho. Babu yangu alikuwa ananifunga na nyuzinyuzi za tawi la mkonge shingoni na kunipaka dawa fulani hivi kuzunguka jicho. Ile nyuzi ikikatika tu na jicho limepona. Huo ndiyo ushuhuda ambao niliuishi lakini pia hata wewe unaushuhuda wa kupona maradhi fulani kupitia tiba za asili si ndiyo?

 Mwandikie Dr.Riziki ushuhuda wako na ujumbe wako kupitia email yetu ya info@drmkalimalela.co.tz 

 Kwa makala ijayo Dr. Riziki atazungumzia faida ya mti wa Myegea na maajabu yake kwa kina baada ya ile ya awali kutoka ambayo bado imeacha maswali kwa baadhi ya watu.

 Pia kumekua na maswali mengi sana kuhusiana na muendelezo wa faida za mnyama Ngekewa sehemu ya pili kutambua zaidi faida na mvuto wa ajabu kupitia mnyama Ngekewa pia niwaombe ktk hilo nakuwaahidi ufafanuzi zaidi unakuja ktk sehem ya pili na sitowaangusha. Anasema Dr.Riziki Mkali Malela anayepatikana  kwa simu +255 766040056 au +255 716757373.

Ujumbe wangu  wa leo ONE LOVE AFRIKA.Tukutane wakati mwingine. Asanteni.

TAZAMA VIDEO YAKE KAMILI HII HAPA CHINI KWENYE PICHAangel