U hali gani mwana wa Africa? Ni matumaini ya Dr.Riziki Mkali Malela  ni kwamba ni wazima wenye afya njema. Mungu awatangulie katika safari za mafanikio yenu, wote tuseme  aameen.

Awali ya yote Dr.Riziki anasema aanze kwa kuwaomba radhi wafuatiliaji wa masomo yake  kwa ukimya wa muda kidogo uliokwepo.Anasema hii yote nikutokana na ubize wa majukumu ya kiofisi lakini pia anapenda kuwafahamisha kuwa ameanza kufanya ziara mbalimbali ktk baadhi ya mikoa hapa nchini na hii ni mara baada ya kupokea simu nyingi kutoka kwa wafuatiliaji wake  kumuomba kuanzisha ziara hizi kwa lengo la kuwafaidisha na kuwasaidia zaidi ktk huduma za tiba asilia.

Lakini pia amekua na ziara za nje ya nchi kulingana na mialiko anayoipata kutoka kwa wafuatiliaji wake  wa nchi jirani ili akatatue changamoto za mambo yao mengi tu na ndiyo maana kumekua na ukimya kidogo wa kufikiwa na makala za mafundisho haya kwa wakati.

Ila yote kwa yote anapenda kuwahakikishia kuwa yuko pamoja nanyi ktk mvua na jua kuhakikisha tunavuka mitego hii ya wazungu iliyopo kwa lengo la kutuangamiza siye wanaafrica. Lakini pia anahabari njema kwa wakazi wa mjini Durba nchini Congo kuwa anategemea kuingia mjini Durba nchini Congo mnamo September 17 mwaka huu, ni mara baada ya kumaliza ziara zake katika mji wa Goma, lengo na madhumuni ni kuwasogezea huduma zake za tiba na maajabu mengi tu yahusuyo mafanikio na namna gani ya kukuza kipato chako sehemu mbalimbali za kibiashara  lakini pia kufahamu njia rahisi ya ugunduzi wa sehemu za madini au Mali katika migodi ya machimbo kwa kutumia Pete za utabiri na Mshazari.

Usikubali kupitwa ewe mwana Durba amka na Dr.Riziki Mkali Malela kiboko kabisa mnamo tarehe 17 September mwaka 2021, ukikosa usimlaumu mtu, shauri lako. Leo basi Dr. Riziki Mkali Malela, angependa kuzungumzia mti aina ya mpanga uzazi au wengine hupenda kuuita uzazi wa mpango au mti mwavuli.

Ukiwa na swali, maoni au ushauri mpigie Dr.Riziki kwa namba zake +255716757373 au +255766040056…Basi bwana, Waswahili husema si kila king'aacho ni dhahabu na si kila cheupe ni maziwa lahasha!! unaweza kuta chenye kung'aa ikawa ni chupa, sasa kaa kwakutulia Dr. akupe faida kupitia mti huu wa mpanga uzazi.

Mti huu unaitwa (Telemanian Katapa) yaani maana yake ni sehemu za kiume kwa jina la kigiriki, na mti huu kwa tulio wengi tunaufaham kama mauwa au mti wa kupendezesha mji na kutokana na ulivyo pambika vizuri huita mwavuli, mti huu pia huitwa mti chonganishi kwa maana ya kwamba mti huu hutumika ktk kugombanisha watu, mtu na mtu au hata kusambaratisha familia na kuitia umaskini. 

Mti huu ulitumika wakati wa Nabii Nuhu kuharibu maji na kuyatia sumu ili mifugo ife, pamoja na binadamu na ndipo mwenyezi mungu akamuamuru Nabii Musa  akate mti mwingine na kuutia ktk maji hayo ili kuua sumu hio na kuyafanya yawe matamu, na mti uliotumika kuyatibu maji hayo ni mti wa mlonge anasema Dr.Riziki Mkali Malela..

Mti huu ukiupanda karibu na miti ya matunda basi elewa miti hiyo haiwezi kuzaa matunda, na Kama ikitokea kuzaa basi lazima matunda hayo lazima yawe machungu.

Mti huu wa mpanga uzazi hakika ni hatari sana kuupanda ktk miji yetu, na ukitaka kujua kuwa mti huu ni hatari chunguza miji ambayo ina miti hii lazima utakuta mwenye mji huo kama ni mwanaume basi atakua ameshafariki na hasa mizizi ya mti huo inapofanikiwa kupenya na kuingia ndani ya usawa wa nyumba, au kama kuna watoto wa kiume watafariki.

Na pia mji huo husambaa na kusababisha wanafamilia kuwa watu wa malumbano kila mara, anasema Dr.Riziki Mkali Malela…Mti huu ukibahatika mizizi yake kupenya na kuingia ndani ya nyumba, hapo ni lazima mzee mwenye mji afariki na kila baada ya miaka 3 hadi 4 lazima mtu wa kiume afariki ktk nyumba hio maana ufalme wa mti huo hauhitaji kuish na wanaume sababu unamilikiwa na viumbe wa roho za kiume, ukitaka kufahamu zaidi elimu hii ya viumbe jiunge tu na group la Dr.Riziki  la Whatsap ufaidi elimu hii ya viumbe wa heli na wa shari kwaundani zaidi.

Piga +255716757373 au +255766040056 kupata taarifa zaidi..Lakini pia mti huu mpanga uzazi hutumika sana na wachawi katika kumuangamiza mtu, wanachokifanya wanaenda katika mti huo usiku majira ya saa 7 wakiwa na jogoo mwekundu kisha wana fukua mzizi wa mazimia jua kisha wanaandika jina la mlengwa kwenye mzizi huo.

Kisha huchinja jogoo huyo mahali hapo huku damu zikidondokea kwenye mzizi huo walipoandika jina la mtuhumiwa kwa manuizi maalum ya sadaka ya damu. Baada ya hapo hukata mzizi huo na kuufunga katika kitambaa cheusi na kuondoka nao kwa makusudio ya kuufanyia wanavojua wenyewe  kwa lengo la kumuondoa mtu huyo katika Dunia hii, duniani kuna mengi Sheikh!!

Ndugu zangu tumwogopeni Mungu, maisha yenyewe mafupi haya, acheni unyama huu anasema Dr.Riziki Mkali Malela.. Dr.Riziki anaendelea kusisitiza kuwa kila kitu kinafaida na hasara zake hivyo hivyo na katika miti, kuna miti inayotibu na kuna mengine ambayo  inayoharibu.

Usije chimba mti usio ujua tawala zake kisha ukanywa kwa kusudio la kujitibu ukapoteza maisha. Shauri zako.

Anyways bado huchelewa,  jiunge na Dr.Riziki kutaka kujua faida ya miti katika tiba na miti isio na sifa ya kutibu. Tena ni bei chee kabisa kwenye group lake la Whatsapp, au basi kama unahitaji huduma yako binafsi kutoka kwa Dr.Rziki, wasiliana naye kwa  +255716757373 au +255766040056.

Imetosha kwa leo, amka mwana africa nyumbani kumekucha zindukeni.

Sikiliza na tazama zaidi hapa