Mwana Afrika unaendeleaje na u mzima? Anauliza Dr.Riziki Mkali Malela.

Yeye anaendelea vizuri bwana kuhakikisha haupitwi na lile unalotakiwa kulisikia na kwa wakati. Kiafya yeye ni mzima.Sasa Wakhushi  leo Dr.Riziki Mkali Malela atapendaa kuzungumzia tena kwa undani kabisa utofauti kati ya mganga wa kienyeji na mchawi.Na sababu ya kuzungumzia swala hili nikwamba kumekua na mkanganyiko wa muda mrefu tu kwa baadhi ya watu hushindwa kutofautisha Kati ya mchawi na mganga wa kienyeji.

Nakuomba kaa utulie upate madini kwa dakika chache then unawezaendelea na mambo yako kama kawaida.

Ikiwa utakuwa na swali, maoni, ushauri wa matibabu ya mitishamba. We mpigie tu Dr.Riziki Mkali Malela kwa namba zake +255716757373 au +255766040056.

Dr.Riziki anasema, Mganga wa kienyeji na mchawi wote ni viumbe ila hawapikiki  ktk chungu kimoja kwasababu mmoja yupo kwaajili ya kutengeneza na mwingine kuharibu. 

Mganga wa kienyeji anajenga na mchawi anabomoa.Mganga wa kienyeji yupo kwaajili ya kutengeneza kwa asilimia 85 na asilimia 15 zilizobaki ni kuharibu, lakini kuharibu kwake nikwafaida, unaweza jiuliza nikwanini Dr.amesema uharibifu wa faida? Jibu nikwamba unaweza kumpeleka kwa mganga mgonjwa aliyeharibiwa na mchawi ili akatibiwe ukishamfikisha mgonjwa huyo. 

Siku ya kwanza ya matibabu yake mara nyingi wachawi humjia mganga kwa njia flani   na kuomba amuache mgonjwa huyo  kwakuwa hajui wametoka naye wapi mpaka kufikia hatua ya kupewa maradhi hayo? Yaani anamshawishi mganga kwamba aache kumtibu mgonjwa kwasababu hajui chanzo cha uhasama wao mpaka kupeana maradhi.

Wakati mwingine mchawi hudiriki hata kumpa vitisho mganga ilimradi tu amuache mgonjwa huyo. Sasa hapo ndipo panapotokeaga shika nikushike mpaka  nguo kuchanika.

Mganga huladhimika kutumia mbinu za ziada zisizotambuliwa na mchawi yoyote kwa kumuadhibu mchawi huyo mpaka kusahau njia aliyoingilia. Unajua hawa watu wawili wana utofauti mkubwa sana,kwasababu mchawi yeye anachokijua ni kupuliza ili izime, na mganga yeye anachokijua ni kupuliza ili iwake, umenipata mpaka hapo?

Maana yake ni kwamba mchawi  siku zote huwa haangalii kosa anaweza kukupa maradhi ya maisha mpaka unaingia nayo kaburini kisa tu eti umemnunia, hujamsalimia au umemnyima chumvi, anasema mtaalamu Dr.Riziki Mkali Malela…

Kama Dr.alivyosema mchawi na mganga utofauti wao ni mkubwa sana na ndiyo maana mchawi siku zote haishiwi na woga pindi asikiapo jina la mganga wa kienyeji. Ukitaka kuamini ktk hilo siku moja weka kinga ya mji  katika nyumba yako kutoka kwa mganga yoyote yule unayemuamini na mwenye dawa zenye nguvu ya kumvuta mchawi hata akiwa umbali wa mita 30. Utakuja ona balaa lake litakalotokea, hutoamini.

Sifa namba 1 ya mchawi ni kuharibu tu na hawezikutengeneza yaani mchawi akikuroga hawezi kukutibu mwenyewe hana maarifa hayo, anasema Dr.Riziki.Na ndiyo maana huwa ni wepesi wa kutubu na wengine hudiriki kumpa vitisho mganga wa kienyeji. Hii ni noma sana aiseee.Kwamfano, unaweza kujiuliza tu hapo ulipo kwamba tangu uchawi uanze mpaka hivi leo uichawi hauwekwi hadharani. Kwanini?

Na wala huwezimkuta mchawi akijitangaza kuwa yeye ni mchawi kama ilivyo kwa madaktari wa kienyeji, je unajua ni kwanini?? Fikiria mwenyewe na usimpe jibu Dr.Riziki.

Lakini pia wanausafiri wa anga utambulikao kama ungo  ambao wanaweza kusafiri mahali popote pale Duniani  ila hawataki kuweka hadharani ili watu wasafiri, unajua ni kwanini?? Fikiria mwenyewe. Ukikosa jibu we jiunge kwenye group lake la Whatsapp kupata maarifa haya kwa undani zaidi. Mpigie kwa +255716757373 au +255766040056 ili awezekukupatia utaratibu wakujiunga.

Amka mwanaafrica tutanue tamaduni zetu wenyewe ,Uganga si uchawi ndugu zangu anasema Dr.Riziki Mkali Malelaaa.

Sikiliza na tazama zaidi hapa