FAHAMU DALILI 12 ZA JINI KISOKE NA TABIA ZAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU 

Pokea salamu za Dr.Riziki Mkali Malela, ewe mtanzania na mwanaafrica, 
nimatumaini yake umzima mwenye afya njema kabisa na niwakati mwingine tena wakumshukuru mwenyeazi Mungu kwa pumzi aliotujaalia kwani kuna ambao waliotamani kuiona leo ila hawakufanikiwa si kana kwamba sisi ni wabora sana hapana ila ni kwa huruma yake na rehema zake na ndiyo maana mpaka leo tupo salama aaameen.

Ndugu zangu leo Dr.Riziki atapenda utambue dalili za jini mchafu aina ya KISOKE na tabia zake lengo na dhumuni la kuzungumzia jini huyu nikwamba usije kujichanganya kama ambavyo wengi wanavyo jichanganya pasina kujua, yaani gonjwa linalo stahiri kutibiwa kwa madaktari wa kienyeji badala yake huelekea kwa madaktari wa kisasa au tatizo lingine maradhi yakutibiwa hospitali mtu anayapeleka kwa madaktari , hili nalo tatizo hilo anasema Dr.Riziki Mkali Malela.

Kwa mengi zaidi kuhusu somo hili la leo na mengineyo, tafadhali wasiliana na Dr.Riziki Mkali Malela kwa namba zake ambazo ni +255716757373 au +255766040056.

Sasa basi kaa kwakutulia ulambe madini haya kwa faida yako, ooh neno alamba limenikumbusha wimbo wa alamba alamba tena aahm aahm…

Dr.Riziki anasema ikumbukwe kuwa kuna baadhi ya maradhi ya kizungu ambayo hutibika kienyeji, lakini hakuna maradhi ya kienyeji au maradhi ya kurogwa yanayotibika hospitalini.

Huo ndiyo ukweli anasisitiza Dr.Riziki, kwa mfano unaweza kuwa na maradhi ya presha ukaenda hospitalini wakapunguza tatizo, lakini ukaenda kwa Dr wa kienyeji akatibu tatizo hilo kupitia miti,huu ni mfano tu jamani, hamna dogo. Sijasema msiende Hospitali.

Lakini hapo hapo ukitupiwa jini baya au kukumbwa na jini mchafu, hospitalini hawawezi kutibu tatizo hilo zaidi ya kutuliza maumivu yaliopo sehemu fulani ya mwili yanayo sababishwa na jini huyo mchafu bila kujua chanzo cha maumivu hayo ni nini? Na yote hayo ni kwasababu hawana teknolojia ya utambuzi wa mtu aliye na jini mwilini na ndiyo maana mara nyingi hospitalini wakijitahidi kutibu tatizo wasilo lijua kupitia dalili,  wakishindwa tu kusovu tatizo hilo kauli ya mwisho ya daktari utaskia" Samahani na poleni kwa matatizo. Ila kwa tatizo hili jamani sisi tumeshindwa nendeni mkahangaike” Hapo kwa mtu mzima atakuwa ameshaelewa nini ambacho daktari anamaanisha, huwa hawaweki wazi kwa sababu fulani fulani za kimaadili.

Kwa mifano hiyo itoshe tu kusema Africa tumejaaliwa neema na nguvu kubwa za kukabiliana na maradhi ya kibinadamu na wanyama kupitia miti ambayo tumebatizwa nayo na kuitwa ushirikina kisa tu tumejaaliwa miti yenye kutibu maradhi yaliyotengenezwa na wao kwa lengo la kututafuna wanaafrika, asee hii ni hatari sana amka mwanaafrica kumekucha africa, eti tiba za kiafrika ni ushirikina kisa tu kuna miti inaotibu sukari, tiba ya kiafrika niuchawi kisa tu inatibu presha, mmmh amaakweli tumetekwa kwelikweli halafu tusivyo waelewa nasi tunakubali bila kuhoji, ni ujinga usio pimika ktk mzani kwakweli, anashangaa Dr.Riziki Mkali Malela.

Itoshe tu kusema  Africa tumebarikiwa neema kubwa ktk tiba kupitia miti jamani amka nami ufahamu Siri hii iliyojificha katika miti ya tiba dhidi ya maradhi mbalimbali ya binadamu na wanyama anasema Dr.Riziki Mkali Malela.

Sasa basi ungana na Dr.Riziki katika kufahamu dalili 12 za jini KISOKE na tabia zake katika mwili wa binadamu.
Kama una maradhi haya basi huenda umekumbwa au kutupiwa  jini KISOKE katika mwili wako,

1.Maumivu ya kichwa cha mara kwa mara

2.Kizungu zungu cha mara kwa mara

3. Kuchoka pasipo sababu za msingi.

4.Kuhisi usingizi mara kwa mara

5.Kupiga miayo isivyo kawaida.

6.Kuhisi kutembewa na vitu mwilini.

7.Kuwa na tabia ya upotevu wa kumbukumbu.

8.Kuwa mtu mwenye hasira za mara kwa mara

9.Kutamani kupiga kelele .

10.Kutokwa na damu ya hedhi bila kukoma kwa akina mama.

11. Kubanwa na kifua mara kwa mara.

12.Kuhisi umebeba kitu mgongoni yaani chini ya maungio ya bega la kushoto.

Ewe mtanzania na mwanaafrica kama una dalili zisizo pungua 4 mpaka 5 au zaidi ktk dalili hizo tajwa elewa kuwa umekumbwa na jini huyo hatari au kutumiwa na wanadamu wasio na hofu ya Mungu, hivyo bas wasiliana na Dr.Riziki Mkali Malela kwa msaada wa maangamizi ya jini huyo. 

Namba za Dr.Riziki ni +255766040056  kwa mnaotumia whatsap namba ni  +255716757373 kwa wasio na Whatsapp au fika kwa daktari yeyote wa kiafrika aliye karibu nawe kwa msaada wa  kumuondoa jini huyo asiye wa heri. Hapa kuna angalizo, kuwa makini na baadhi ya wanaojiita madaktari wa Kiafrika baadhi yao ni matapeli.

Lakini pia Watanzania na Afrika ni vizuri tukairudi jadi yetu ili tupate suluhisho kwa matatizo mbalimbali yanayoikumba dunia kwa sasa.

Jadi, mizimu na tambiko ni asili yetu waafrica usipuuze ukajuta kwa kichapo cha maradhi yasiyopona kwa kutothamini asili yako, anasema Dr.Riziki Mkali Malela.

Nitakupa mfano 1 Kuna kipindi Dr.Riziki alisafiri kuelekea nyumbani kwao  huko Tabora kuwaona ndugu na jamaa, akabahatika kufika kwa shangazi yake mmoja 1 aliyekua akisumbuliwa na maradhi ya tumbo la kuvuruga na kutapika kwa  kipindi Cha miaka 3.

Kilichotokea baada ya Dr.Riziki kufika nyumbani kwake alimkuta akiwa katika hali hiyo huku mezani kwake kukiwa kumetapakaa madawa ya viwandani. Akamuuliza Shangazi kulingoni? Au unampango wa kufungua  famas?? 

Shangazi akamjibu siafadhari ingekuwa famas mwanangu nasumbuliwa na tumbo kwa miaka 3 nimetumia madawa ya hospitali mpaka za kienyeji bila dalili zozote za mafanikio.

Dr.anasema akamtizamia katika utabiri aliobarikiwa kisha akahoji kuwa mara ya mwisho ulifanya sala kwa marehemu babu yenu  lini?? Shangazi akamjibu hata sikumbuki ni zaidi ya miaka 28.

Basi Dr. Anasema akamwandaa kufanya swala hilo kwa muongozo wa mama yake ambae Dr. ni bibi yake, huwezi amini mara baada ya kukamilisha sala hizo aliamka mzima  mpaka leo, na ni mwenye afya tele.

Hali iliyo mpelekea mpaka leo kutambua umuhimu wa tambiko na jadi, huku muda huo amekwisha tafuna chemiko za hospitali  kwa muda wa miaka 3 bila dalili za mafanikio, yaani ilikuwa kila atakapo enda kutibiwa hospitalini wanamwambia ni vidonda vya tumbo lakini alitumia dawa mpaka asizozijua bila mafanikio.

Dr.Riziki Mkali Malela anaseama anatusihi wanaafrica tusiwe wepesi wa kubeza vya kwetu kwani vya zamani ni hadhina na vyakale ni dhahabu. Kwa lolote lile tafadhali wasiliana naye kwa namba zake  +255716757373 au  +255766040056..

Sikiliza na Tazama zaidi hapa