Kuhusu Mimi

Kuhusu

Dr. Mkali Mlale

Dr.Mkali Malela ni daktari wa tiba asili nchini Tanzania. Amezaliwa huko mkoani Tabora. Hata siku moja hakuwahi fikiria kuwa atakuja kuwa mganga wa tiba asili.Ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuja kuwa mcheza kareti.

Siku moja akiwa kwenye utafutaji wake jijini Dar Es Salaam alitokewa na kiumbe ndotoni kilichomsisitiza kwamba anataka kumtumia kusaidia watu. Ndipo harakati na mwanzo wa kuja kuwa daktari wa tiba asili ulipoanzia. Anatibu maradhi sugu na yote yaliyoshindikana kwakutumia mitishamba. Unapresha? Kisukari? Unasumbuliwa na majini ya shari? Kwa hayo na mengine yote, wasiliana na Dr.Mkali Malela leo.

Kwa mengi zaidi kuhusu wasifu wa Dr.Mkali Malela, tazama video hii chini.


...

Je umehangaika sana ?

je, umehangaika kote kutafuta matibabu bila mafanikio ?

Unafanya biashara kwa bidii lakini hupigi hatua ?

Au chuma ulete imefanywa kuwa mchezo kwako ?

...

Kiboko ni Dr.Mkali Malela Herbalist Clinic.

Uwe umetupiwa majini,au umefungwa nyota.

Hapa ndipo kiboko yao. Fika leo ujionee maajabu na kutatuliwa tatizo lako tena kwa haraka zaidi. Huduma zao ni Kuangamiza majini wote wa Shari kwa kutumia jamvia.

...

Acha kuteseka na kuhangaika.

Wasiliana na Dr. Mkali Malela kwa
simu namba : +255 716 757 373 au +255 766 040 056.
Barua pepe : info@drmkalimalela.co.tz
au Au fika ofisini Kwetu Kunduchi Mecco Dar es salaam TZ.

  • Vyote
  • Kibali
  • Hati ya Uganga
Top