Herbalist Clinic

Karibu kwa Dr.Mkali Malela

Dr.Mkali Malela ni daktari wa tiba asili nchini Tanzania mwenye uzoefu wa miaka mingi. Amezaliwa huko mkoani Tabora. Hata siku moja hakuwahi fikiria kuwa atakuja kuwa mganga wa tiba asili.Ndoto yake kubwa ilikuwa ni kuja kuwa mcheza kareti.

Dr.Mkali Malela anatibu na kuponya magonjwa sugu ikiwemo kisukari, kifafa, nguvu za kiume,ngili, presha,kwikwi, kifaduro, kifua kikuu, kuvunjika mifupa mwilini, kiharusi, mgongo kuuma, mifupa kuuma, miguu kuwaka moto, sumu, kukosa hamu ya kula, minyoo, kansa ya damu, kuumwa na nyoka,maumivu ya hedhi, maumivu ya uzazi, kigugumizi kwa mtoto mwenye umri wa miaka 3 Hadi 7,na mengine mengi.

Saa Za Kazi

Huduma zinapatikana siku zote
3 asubuhi mpaka 12 jioni

Kasoro
siku za Jumanne na Ijumaa pekee.

...

Dr. Mkali Mlale atakusaidia :-

  1. Kuangamiza majini wote wa Shari kwa kutumia jamvia.
  2. Kutibu magonjwa yote yatokanayo na shirki za wanadamu.
  3. Kutibu vidonda sugu visivo sikia dawa za kizungu
  4. Kutibu maradhi ya pumu.
  5. Sukari ya kupanda.
  6. Presha ya kupanda.
  7. Kutibu vidonda vya tumbo kwa kutumia mauwa ya miti.
  8. Kutibu ngili.
  9. Kutibu kwikwi
  10. Tiba ya kigugumizi kwa mtoto mwenye umri wa miaka 3 Hadi 7.
  11. Huduma ya upandishaji nyota na kung'arisha.
  12. Kuondosha nuksi sugu mwilini.
  13. Kuangamiza uchawi mwilini
  14. Tiba ya uzazi yakutumia miti kwa akina mama
  15. Maradhi ya chembe moyo
  16. Ganzi za miguuni na miguu kuwaka Moto.
  17. Tiba ya kifafa
  18. Tiba ya kuunganisha mifupa iliyovunjika kwenye ajali
  19. Na tiba ya Maradhi ya kuwashwa kwa mwili.
  20. Kinga za mwili dhidi ya uadui.
  21. Kinga za miji dhidi ya vitimbwi vya kishetwani.
  22. Kinga za mashamba na vitu nanyinginezo nyingi tu.

Shuhuda
Mbalimbali

Badhi ya shukrani kutoka kwa wagonjwa wa awali, wanafamilia kutokana na kiwango chetu cha juu cha huduma tunachotoa katika kituo chetu. Chini hapa ni mifano michache tu ya jumbe nzuri ambazo tumepokea.

Top